sala ya mvua

IQNA

IQNA – Agizo limetolewa la kuandaa Sala ya Istisqa (kuomba mvua) katika misikiti yote ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) siku ya Ijumaa.
Habari ID: 3481368    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/10/14

Ibada
IQNA – Sala ya Istisqa (ya kuomba mvua) imepangwa kusaliwa kwenye haram tukufu ya Imam Ridha (AS) huko Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran.
Habari ID: 3478211    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/18

Sala ya mvua
TEHRAN (IQNA) - Waislamu wa Ufaransa wameombea mvua wakati nchi hiyo, pamoja na mataifa mengine ya Ulaya, yakikumbwa na kile kilichotajwa kuwa ukame mbaya zaidi kuwahi kutokea katika kipindi cha miaka 500.
Habari ID: 3475625    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/15